You are viewing the live profile of the user zamaradi mketema (@zamaradimketema)

zamaradi mketema instagram

@zamaradimketema

MEDIA Personality CONTENT PROVIDER Writer A proud Mother Creative Mind JUHJUH'S HOUSE OF KIDS - owner WATOTO FESTIVAL - Founder WONDER WOMEN - Founder https://youtu.be/lqDvT3Aj7Fk
6,066 media
1,001 follower
3,171,169 followed
Last 12 Media Like
339,387
Last 12 Media Comments
8,101
  zamaradi mketema (@zamaradimketema) has recorded 6,066 media and recorded 3,171,169 instagram users at 18 February 2019 when recording their data. Also on this date, the database that the 1,001 instagram user followed the zamaradi mketema (@zamaradimketema)

zamaradi mketema instagram photos

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Repost from @halimayahya Kuelekea siku ya Wanawake Duniani..CHAMA CHA WANAWAKE WA FILAMU kimeandaa KONGAMANO kubwa la WANAWAKE WAJANE Mkoani Dodoma..Lengo ni kuwainua kiuchumi Wanawake wote waliokata tamaa baada ya kuondokewa na Wenzi wao.. Kutakua na walimu wa KUWAFUNDISHA Ujasiliamali na Kujitambua kwamba hata bila Wenza wao #Wanaweza pia Kuna Wanawake ambayo baada ya kuondokewa na Wenzi wao wamenyang'anywa Haki zao na hawana pa kukimbilia Tutakua na Watu wa HAKI NA MISAADA YA KISHERIA wa kusaidia kupata HAKI Zao...pia Kwa kushirikiana na Wadau wetu tutatoa MITAJI ya biashara kwa WAJANE 50 Wenye Uhitaji mkubwa...kama umeguswa na Unatamani Kusaidia..Tutatambua Mchango wako..🙏 mawasiliano #0786013070 #0712560853 @MostHiredInternational @pestanapub @royalvillagehotel @nic_Tanzania @coachbassanga @changiadamutz @girlonfireforchange @cut2cutenternment @ummymwalimu @ggondwe @hudsonkamoga @tanzania_film_board @Anthonymavunde @wanawakewafilamu

  836     30   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Sunday'

  11,415     112   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Vifo vya wenzetu inabidi iwe somo kwetu tunaobaki' Kuondoka Ghafla kwa mtu kama Zilla kunahakikisha kuwa Kuumwa sio ticket ya kufa na wala Uzima sio uhakika wa kuwa una muda Duniani, kwa wewe ulie kitandani hoi ama mzima unaetembea, jua Hali yako haitarefusha tarehe wala kupunguza umri wa wewe kuwa Duniani, kila mtu ataondoka tarehe ALIYOPANGIWA ambayo ni siri ya MUUMBA. Na ndio tunaposhuhudia wagonjwa kubaki huku wazima wakiondoka. Na ndiomana kuna watu jana tulikuwa nao wakiwa hawana dalili yoyote ila leo tumepokea taarifa mbaya juu yao, iwe kwa ghafla, ajali ama lolote lakini wametutoka' MUNGU ana njia tofauti na wanaadamu, na hata mawazo yake sio yetu, sisi tumekariri maisha kwa kudhani ikitokea hivi inakuwa hivi, kumbe MUNGU ana miujiza yake' Usijinyong'onyeze wala kunyong'onyea nafsi kwa maradhi na wala Usijiamini ukajisahau kwa UZIMA.. maana hutaondoka kwa ugonjwa wako ila siku yako, na hutabaki kwa uzima wako ila muda wako' Matokeo ni ya MUNGU' Na tuombe MUNGU atupe mwisho mwema bila kusahau pamoja na kuipenda Dunia sana tuitafute na Ahera pia maana hatuijui siku wala Saa' Pumzika kwa Amani Zilla!

  7,947     189   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Happy Birthday Brother' Uishi miaka mingi aisee, I appreciate You 🙏🏿 @texxasbaywash #kindsoul

  4,305     49   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Happy Birthday to you' MUNGU akafanikishe kila jema lenye Heri kwako na kwa wengine INSHA'ALLAH Furahia siku yako Kaka @baba_keagan @baba_keagan

  10,050     104   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Nakupendea kitu kimoja, Wewe ni MUWAZI SANA, haijalishi unachoongea kitachukiza ama kupendeza kiasi gani ila unatoa unachokimaanisha' Nakuheshimu kwa hilo maana unafki ulikupitia pembeni, na kama unavyojua kuishi na mnafki ni mtihani mzito maana hujui saa ngapi meno anayokutolea yanamaanisha furaha na muda gani yanabashiri njaa' Heri ya siku ya kuzaliwa kwako' Ubarikiwe mtumishi @jimmymafufu

  6,200     70   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Namshukuru MUNGU kwa kunipa nafsi ya kukinai na kuridhika, with all imperfections bado NAYAPENDA NA KUYATHAMINI MAISHA YANGU MNO, na Ups and Down zote zilizowahi kuwepo na zilizopo bado story yangu ya maisha naiona ni Bora na nisingependa ibadilike chochote, sababu vyote ndio vilivyofanya ZAMA awe ZAMA leo, nimeridhika, nimekinai na ninafurahia kila hatua yangu sababu NDIO YA KWANGU' kikubwa ni kusimamisha misingi imara kwenye vilivyo vyangu na sio kuhaha na vya wengine maana tamaa inatoa ubinaadamu na kukaribisha roho mbaya' Nilichojifunza kinachoumiza wengi kwenye maisha sio Hali, ila MTAZAMO juu ya hali tofautitofauti, tusichofahamu kutoridhika na kutamani kila baraka ya wengine hutoa amani na kukaribisha wasiwasi' na zaidi kuwa Busy na Baraka za wengine kunafanya usione za kwako' na unaweza jikuta ni mtu usieeleweka mpaka mwisho wako. Hivyo on this Valentines, pamoja na kuonesha wengine upendo, usisahau kujionesha wewe pia kwa kuthamini VYOTE VYEMA ulivyonavyo kwa kuviembrace na si kuchunguza ama kujikosesha amani na sehemu mbovu za maisha yako tu' una NZURI NYINGI SANA, concetrate na hizo kwa kushukuru. ukiangalia kitu kiurahisi kitakuwa rahisi tu, na ukiwa ni mtu wa negatives hata uwe na almasi mkononi bado utaiona jiwe' Asante MUNGU kwa Almasi zangu zote, naziona, nazitambua, nazithamini na zaidi NAKUSHUKURU' ALHAMDULILLAH!! 😊

  6,673     120   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Napenda kuchukua nafasi hii kujitambulisha rasmi kama BRAND AMBASSADOR wa MILVIK TANZANIA ambao ni watoaji wa Bima Mkononi kupitia TIGO Mara nyingi sio kila biashara inayokuja mbele yetu huwa tunaichukua, ama kila brand inayoapproach kufanya kazi huwa unakubaliana nayo, na hii ni kutokana na sera binafsi ambazo mtu umejiwekea kutokana na kile unachotaka watu wapate kutoka kwako ama hata kulinda sura yako' Kwa upande wa MILVIK nimefurahia mno na sikujiuliza mara mbili kufanya nao kazi, na Kitu kikubwa kilichonisukuma kukubali kufanya kazi na MILVIK ni kutokana na Nia yao kubwa ya kusaidia watu wenye KIPATO KIDOGO na cha kawaida kupitia BIMA hizi zenye gharama nafuu' Kupitia hapa kwenye page yangu nitakuletea faida tofauti unazoweza kupata kupitia BIMA hii, na aina tofauti ya Bima hizi, bahati mbaya sana au nzuri sana hii ni NGEKEWA iliyowaangukia wateja wa TIGO Tanzania Pekee. Hivyo kama wewe ni mteja wa Tigo basi tegemea mengi mazuri yatakayokuja kubadilisha maisha yako' ASANTE' 😊

  10,632     231   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Very Shocking News' Nenda Salama Jirani!!! #RIP

  15,415     267   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Eh MUNGU' MUNGU WA MBINGUNI' NA IJULIKANE KUWA UPO!!!! 😊 #ALLAHUAKBAR

  13,212     167   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema )

  18,394     182   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Happy Birthday my Love' #jirani Nakupendaga 😊❤️ @doreendeeandy

  7,094     73   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Pita kwenye page ya @iam_johnkay ambae ni Producer wa Cops Enemy amekuwekea jambo usilolifahamu kuhusu huyo Dada hapo Juu' Kwa wanaomfahamu Hebu nitajie jina lake ni Nani na amefanya NINI kwenye filamu ya Cops Enemy!? Nina Vocha ya 20,000 kwa ajili yako Weka Jibu kwenye comment hapo chini' Na kabla sijasahau bonyeza Link yangu hapo juu inaweza kukupa jibu la swali 😊 UPDATE: Mshindi wangu wa Vocha ya 20 ni @gabrielly5526 nifate DM tafadhali halafu twende kwenye post mpya kuona jinsi ya kushinda mshiko mwingine 😄

  11,992     200   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Sundaying' ❤️

  27,225     679  

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) #saturdaymessage #ujumbewajumamosi #UJUMBEWALEO

  8,943     256  

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Asanteni kwa kunipendezesha kwenye Events zangu ZOTE' what i love kutoka kwenye nguo zenu ni that Class, Quality ya nguo, Uzuri/Upekee na zaidi hakuna siku nimekuja hapo nikakosa cha kuvaa, msingekuwa Bora nisingewaamini kunivalisha kwenye Harusi yangu aisee' lakini mpaka kunivalisha on my Big Day inamaana I SALUTE YOU' Nimejitahidi kutafuta ila bado sijawaona wa kuwazidi kwa hapa TANZANIA' nathubutu kusema hivyo 😊 You are the BEST @beautypointdar @beautypointdar

  5,666     32   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Kutokana na Uhitaji wa watu wengi Swala letu la Dokta Kaguta limepita' Nichukue nafasi hii pia kumshukuru kwa Moyo wake wa Dhati na kujitoa' Tutegemee kupata Hints tofauti zitakazotufungua juu ya challenges na magonjwa/matatizo tofauti tofauti yanayotukabili wanawake' Usiku mwema kwenu wote

  19,636     210   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Nimegundua wanawake tuna matatizo mengi sana na miili yetu, lakini pia swala la Uzazi likiongoza, katika maana ya matatizo ya kushindwa kupata watoto (infertility), ama hata kushika ujauzito na kutoka mara kwa mara, ama hali mbalimbali zinazojitokeza kipindi cha ujauzito na jinsi ya kuziovercome, ama hata matatizo ya baada ya kujifungua na mengineyo mengi ya wanawake yasiyohusisha uzazi, Leo nimeona nimuombe Dokta Kaguta awe anatupa Hints mbalimbali ambazo zinaweza kutuokoa kwa namna moja ama nyingine katika jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo, ama hata matibabu yake au mara nyingine kuelewa zaidi vyanzo maana kuna hali ya kuchukulia kitu ni kikubwa kumbe kinaweza kikawa ni mabadiliko tu ya kawaida ambayo hayahitaji tiba za kidaktari' Hii ni kwa Wanawake tu, mnaonaje!?? Nimuombe awe anatuletea Tips tofauti hapa juu ya matatizo yetu kinamama (maana yeye ni BINGWA kwenye sekta hiyo ya Uzazi na Wanawake kwa ujumla)' Na nimeliwaza hili kutokana na maswali ninayokutana nayo DM mara nyingine mtu akiomba msaada wa mawazo kwa kuhisi tu kwakuwa unajulikana basi unaweza kuwa una ufahamu na kila kitu kumbe mengine ni nje ya Proffession zetu na yanahitaji utaalamu zaidi, nilivyompa tuzo yake nimeona nitumie fursa hiyo Kumuomba kama anaweza akawa anasaidia hilo kwa Followers wangu' na namshukuru kwa Roho yake maana yuko willing kabisa kulifanya hili, ila siwezi kuanza kama wenyewe hamuhitaji hii kitu' Hivyo Wanaosupport hili waandike NDIO kwenye Comments ili tutumie hii nafasi maana nina imani kuna watakaookoka na kufaidika kupitia hili' nikiona uhitaji ni mkubwa basi tutalianza mara moja' ASANTENI!

  26,283     1,706   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Leo nilifanikiwa kupata nafasi ya kumkabidhi TUZO YAKE ya Dokta Bora alietajwa na watu wengi sana kupitia Page yangu ya Instagram' Huyu ni Dokta KAGUTA wa AGA KHAN Hospital ambae ni mkuu wa Idara kwenye kitengo cha WANAWAKE NA WAJAWAZITO, na ametokea kusifiwa sana na wanawake wengi Tanzania ambao walibahatika kupata huduma yake' Pembeni Ni Mama LUCY HWAI ambae ni Mkurugenzi wa wauguzi Aga Khan Hospital pamoja na MEDICAL DIRECTOR wa Aga Khan Hospital Dr. Ahmed Jusabani Hongera sana Dokta, tunatambua mchango wako!! #BestDoctor

  15,301     340   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Ogopa mtu asiekuruhusu kueleza hisia zako, kutokukuruhusu sio kukwambia NO, ila kuonesha Weird Reaction pale unapokuwa mkweli, wanataka uishi nao kwa uongo, ukae kimya unapoumia, uogope unapokosewa, uishi kwa njia anazoamini yeye, utafute maneno yanayomridhisha yeye, na zaidi kutishia kutosonga mbele kila unapoamua kufunguka, na kushindwa kubeba responsibility ya makosa yake huku AKIKUHUKUMU NA KUKUNYANYASIA MAKOSA YAKE, ama hata misamaha ya kinafiki iliyojaa attitude, tukumbuke msamaha wa kweli ni MATENDO sio maneno' haijalishi ni unaenjoy kiasi gani ukiwa nae, mtu wa namna hii hakufai, maana hatupimi UZURI WA MTU kwenye nyakati za furaha, ila zile za kuumiza ama kuumizana, maana hapo ndio utaona Anajali ama Hajali kiasi gani, na utagundua anamaanisha yale anayoongea mkiwa kwenye furaha ama la, unapoona mtu anakuumiza na hataki uongee hata kama ni mwema basi SIO SAHIHI KWAKO, ukiona mtu kazi yake ni kukukatia tu mawasiliano kwenye sehemu mnayotakiwa kuongea ni kuwa HAKUWA ANAKUHITAJI, muache AENDE!! Hata kama una mapenzi nae jifunze kuona kama HAYUPO' Mahusiano yoyote yanajengwa na ukweli na Ruhusa bila mipaka, ruhusu mtu atoe machungu yake, hata kama anaongea nini muache aongee, ANAUMIA, na hakuna anaeumia kwa asiemthamini, asilimia kubwa ya maumivu ni kutoka kwa Tunaowathamini, lakini kama thamani iko upande mmoja achana nayo, na ukiona mtu ni mwepesi wa kukata mawasiliano jua HUNA FAIDA TENA KWAKE' na kuna watu kwao kama huna faida HUNA MAANA' Since you know ulikuwa na Heri basi utapata wenye heri mbele' Jitafakari na jiepusha na mizigo isiyo ya lazima, maana hata kumthamini kumpenda asiefeel the same ni kujibebesha mzigo usio wa lazima ambao unaeumia ni wewe tu' Iwe ni mpenzi, ndugu, jamaa ama rafiki wa namna hii ambae mtakuwa kwenye FURAHA pale inapokuwa ni kuhusu YEYE TU na sio wewe, hata kama anakumwagia sifa njema zote bado sio sahihi maana anakusifu pale unapompendezesha yeye tu ila linapokuja swala la Moyo wako ANABADILIKA, ni MBINAFSI' Usilazimishe kuwa kwenye maisha ya mtu wa namna hii' Kwenye picha ya ukweli ni kuwa HAKUHITAJI na huna thamani hiyo kwake. Kubali na JIWEKE PEMBENI.

  27,790     915   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) #GOALS One Day Yes INSHA'ALLAH!!' Jumaa Kareem

  17,297     311   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Hongera sana Muheshimiwa @baba_keagan kwa kufanikisha ziara hii kwa ukubwa...'

  5,387     88  

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) 😊'

  3,692     70   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Story mbili tatu kidogo na kadadaa kangu' 😊

  9,494     247  

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Niko na MOOD na TIME!! Nina kama Nusu saa hivi ya kuongea na watu wangu, Nakupa nafasi Niulize CHOCHOTE chenye tija nitakujibu 😊. ASANTE!!

  15,359     500   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Usiseme HAIWEZEKANI hata siku moja kwenye jambo, ila sema MIMI SIWEZI' Kwenye Press niliongea kuhusu BUDGET ya hii filamu lakini inaonekana wengi tunaenda na Mazoea, Huenda ni ngumu kwa Producers wetu hapa Tanzania kufanya filamu ya Budget kubwa kutokana na system yetu nakadhalika, ila haimaanishi wengine hawawezi' Hii filamu Budget yake ni MILIONI 200, na utakapofanikiwa kuangalia yote itakapotoka mwezi wa nne utasadiki maneno yangu, na ninafurahia zaidi kuona wasanii wetu wa Hapa Tanzania ambao ni WEMA SEPETU, AUNTY EZEKIEL NA STANLEY MSUNGU kuwa sehemu ya project hii, lakini zaidi Director NEEMA NDEPANYA pia kuwa sehemu ya hili kubwa kwa kushirikiana na madirector wengine' Kwasasa bonyeza LINK hapo juu kwenye BIO yangu kuona Trailer kwa urefu zaidi' Kisha nitaendelea kukupa taarifa fupi fupi kuhusiana na filamu hii ya Cops Enemy'

  2,268     68  

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Chochote kinachokuletea KULA kilinde, Kichunge na kifanye kiwe Special Kila mtu MUNGU kampa njia zake, kuna wanaokula kupitia Maneno, Kuna wanaokula kupitia Sauti, kuna wanaokula kupitia Mguu, Kuna wanaokula kupitia Sura zao, kuna wanaokula kupitia Vichwa vyao nakadhalika' Kama ambavyo Hela inafichwa na kutunzwa basi hata chanzo cha hela kitunze pia, Usiache mtu akishike tu na kukichezea ama kukiacha kiholela kila mtu akawa na access nacho' Leo kama wewe MFANO Maneno ndio yanakuweka mjini labda, aidha ni mtu wa kutoa madini sana, ama mchekeshaji sana, ama mshauri sana nakadhalika basi fahamu sio kila unapokaa unayamwaga, yatengenezee njia ambayo mtu kuyapata na wewe unaingiza' Ingekuwa wanamuziki kila sehemu wanazoenda wanaimba watu wasingetoa hela kwenye Show kuwaangalia, Ama wanaoishi kwa apperances wanaonekana kila sehemu basi wasingelipwa kufanya apperances, maana kama kutwa mitaani unazurura natoa hela yangu ya nini nije kukushangaa, vivyo hivyo kwenye kila jambo... MUNGU kagawa KARAMA zetu kwenye njia tofauti, kwanza tuzitafute TUZIJUE, kisha Tuzitunze na kujua jinsi ya kuzitumia ili zituingizie na ziwe na manufaa na sisi' Hakuna KIPAJI kisichokuwa na faida, hata kama unakiona kidogo kiasi gani' Kama ambavyo Dokta hapiti nyumba hadi nyumba kutibu Bure ila unamfata na kulipia huduma basi fahamu KARAMA/KIPAJI CHOCHOTE ulichopewa sio cha kukitandaza, kifanye kiwe adimu ili watu waone umuhimu wa kukigharamikia kwa kujitengenezea njia ya kwanza watu wakiheshimu lakini pia wakitamani na kiendelee kuwa Exclusive. Sio kwakuwa unajua mpira sana basi kila ukiona watu DanaDana haziishi, au unasifiwa kusuka basi kila mtu unamsuka bure kuonesha UJUZI, jiulize mbona mashuleni/maofisini/mabiasharani wameweka utaratibu na masheria makali ambayo hayapinguki kwa KUJUANA, mtacheka lakini mwisho bila hela hakuna huduma, hata kama utavumiliwa kwa muda lakini UTALIPA TU, iweje wanaotoka maofisini waje kwako Bure kwa kuhisi eti ndio WEMA ama unawapendezesha' Kumbuka MUNGU amekupa CHOCHOTE ALICHOKUPA KWASABABU, Usikitandaze Bure, kitunze, kihifadhi na kitumie kwa kujinufaisha. Thamini KULA yako!!

  10,093     240   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) Happy Birthday to you Natalia' Endelea kutupaka Make Up nzuri tudamshi mjini (japo neno kudamshi huwa sijalizoea halafu silipendipendi bila sababu ya msingi ila sijui kwanini nimelitumia leo) 😄' Anyways kikubwa ni Heri na Baraka na uendelee kuwa Cool as you are Much Love Honey @nataliamakeup1000

  4,980     53   Download

@zamaradimketema ( zamaradi mketema ) MUNGU ANATOSHA'

  10,110     184   Download